
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja Veta Songea Mjini kuongoza mkutano wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi leo Jumatatu Septemba 22, 2025.








Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM, Taifa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe, Ndugu Doto Mashaka Biteko amewahimiza wan...
No comments:
Post a Comment