
Maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu tarehe 22 Septemba, 2025 katika viwanja vya VETA Songea Mjini, mkoani Ruvuma .











No comments:
Post a Comment