DKT. SAMIA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI GOMBANI YA KALE, ZANZIBAR - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, September 20, 2025

DKT. SAMIA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI GOMBANI YA KALE, ZANZIBAR


Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM akiwa kwenye Kampeni za uchaguzi Mkuu katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar leo Jumamosi tarehe 20 Septemba, 2025.





No comments:

Post a Comment