
Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiwa na Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej. Wawili hao walikua wapeperushe bendera ya chama cha ACT WAZALENDO kabla ya kuwekewa pingamizi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na kuenguliwa katika mbio za kuwania kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.


No comments:
Post a Comment