MAELFU WAMLAKI DKT. SAMIA MASASI, WAMUAHIDI KURA ZA KISHINDO. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, September 23, 2025

MAELFU WAMLAKI DKT. SAMIA MASASI, WAMUAHIDI KURA ZA KISHINDO.



Mamia ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM pamoja na wananchi wa Masasi Mkoani Mtwara wakiwa wamejitokeza kwa wingi leo Jumanne Septemba 23, 2025 kwenye Uwanja wa Boma, Masasi kwaajili ya kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye ameanza ziara za mikutano ya Kampeni Mkoani humo.



No comments:

Post a Comment