MAELFU WAMLAKI DKT. SAMIA MBAMNA BAY - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, September 21, 2025

MAELFU WAMLAKI DKT. SAMIA MBAMNA BAY


Maelfu ya wananchi wa Mbamba Bay mkoani Ruvuma waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi za Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili tarehe 21 Septemba, 2025.

No comments:

Post a Comment