MAJALIWA KUZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KIWANI. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, September 21, 2025

MAJALIWA KUZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KIWANI.


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 21, 2025 anazindua kampeni za uchaguzi katika Jimbo la Kiwani zinazofanyika katika uwanja wa Kwareni, Pemba, Zanzibar.

Mgombea kiti cha Uwakilishi wa Jimbo hilo ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla.



No comments:

Post a Comment