
Sehemu ya wananchi wa Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja Visiwani Zanzibar waliohudhuria Kampeni za Uchaguzi za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Alhamisi Septemba 18, 2025, siku ya Pili ya kampeni za Dkt. Samia Tanzania Visiwani.










No comments:
Post a Comment