WANANCHI WA KOROGWE, TAYARI KUMSIKILIZA DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, September 30, 2025

WANANCHI WA KOROGWE, TAYARI KUMSIKILIZA DKT. SAMIA


Mamia ya wananchi wa Korogwe Mkoani Tanga sambamba na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakimsubiri Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika eneo la Korogwe, sehemu ambayo atapita kuzungumza na kuwaomba kura wananchi wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Kilimanjaro kwenye wilaya za Same na Mwanga, kuendelea na kampeni zake za uchaguzi Mkuu wa Jumatano ya Oktoba 29, 2025.






No comments:

Post a Comment