DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI YA CCM KWA WAGOMBEA UBUNGE DAR ES SALAAM - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, October 23, 2025

DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI YA CCM KWA WAGOMBEA UBUNGE DAR ES SALAAM



Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi baadhi ya wagombea Ubunge wa Majimbo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam akiwemo Mgombea wa Viti Maalumu Kundi la wenye Ulemavu Ndugu Stella Ikupa katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Tanesco Buza, Temeke Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Oktoba 23, 2025.






No comments:

Post a Comment