
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye matukio tofauti na mwingi wa furaha na tabasamu, wakati wa Mkutano wake wa hadhara wa kufunga Kampeni za Uchaguzi Mkuu Visiwani Zanzibar leo Oktoba 24, 2025 kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Unguja. Dkt. Samia amehitimisha na kufunga Mikutano yake ya Kampeni Visiwani humo tayari kwa uchaguzi Mkuu wa Jumatano ijayo Oktoba 29, 2025.




 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment