CAF YAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA KWA MCHANGO WAKE KATIKA SOKA AFRIKA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, November 21, 2025

CAF YAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA KWA MCHANGO WAKE KATIKA SOKA AFRIKA




Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa, hii leo amerejea na tuzo aliyopewa Rais  Samia Suluhu Hassan, Novemba 19, 2025 na Shirikisho la Kandanda Barani Afrika (CAF), kwa kutambua mchango wake mkubwa katika maendeleo ya kandanda.

Msigwa, alipokea tuzo hiyo kwa niaba ya Rais Samia, mjini Rabat, nchini Morocco.


No comments:

Post a Comment