DKT. TULIA AJIONDOA MBIO ZA KUWANIA USPIKA WA BUNGE - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, November 7, 2025

DKT. TULIA AJIONDOA MBIO ZA KUWANIA USPIKA WA BUNGE


Aliyekuwa Mgombea wa nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ametangaza kujiondoa rasmi katika kugombea nafasi hiyo, leo tarehe 7 Novemba 2025.

No comments:

Post a Comment