Aidha, Dkt. Samia alisema: “Serikali imezindua skimu ya hifadhi ya jamii ili kuhakikisha wananchi waliojiajiri wanajumuishwa katika mfumo wa hifadhi ya jamii.”
.jpeg)

.jpeg)

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bw. Nsubili Joshua, akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha Tathmini ya Uandaaji na Utekelezaji wa Baj...
No comments:
Post a Comment