
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 3, 2026 ameshiriki katika hafla ya uzinduzi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 pamoja na Kushiriki Mkutano wa Mazungumzo Maalum na Sekta Binafsi pamoja na Sekta ya Umma kuhusu utekelezaji wa Dira 2050, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Nyenzo hizo zimezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.




No comments:
Post a Comment