HABARI PICHA : DKT. SAMIA AKABIDHIWA NYARAKA ZA KAZI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, November 4, 2025

HABARI PICHA : DKT. SAMIA AKABIDHIWA NYARAKA ZA KAZI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kuwasili katika Ofisi yake Ikulu Chamwino, akiwa tayari kuanza rasmi majukumu yake baada ya kuapishwa.


No comments:

Post a Comment