Monday, February 28, 2022
New
Korea Kaskazini yasema ilifyatua kombora kujaribu mfumo wa upelelezi
OKULY BLOG
February 28, 2022
0 Comments
Korea Kaskazini imesema jaribio la kombora lililofanywa jana Jumapili lilikuwa ni kwa ajili ya kuthibitisha hatua iliyofikiwa katika uimaris...
Read More
New
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuijadili Ukraine kwenye kikao cha dharura
OKULY BLOG
February 28, 2022
0 Comments
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa jana limechukua hatua ya nadra ya kuitisha mkutano wa dharura wa wanachama wote 193 wa Baraza Kuu la U...
Read More
Sunday, February 27, 2022
New
WAZIRI NDALICHAKO APONGEZA UWEKEZAJI KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI
OKULY BLOG
February 27, 2022
0 Comments
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako. Waziri wa...
Read More
New
Urusi: Mazungumzo na Ukraine hayatositisha mashambulizi
OKULY BLOG
February 27, 2022
0 Comments
Serikali Urisi imeionya Ukraine kwamba operesheni za kijeshi hazitasimamishwa katika mazungumzo yoyote yanayowezekana kufanyika. Habari hiyo...
Read More
Saturday, February 26, 2022
New
WADAU WATATIKIWA KUJITOKEZA KUTOA ELIMU KWA JAMII YA KUONDOKANA NA VITENDO VYA UKATILI
OKULY BLOG
February 26, 2022
0 Comments
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, wakati akifungua kikao kazi na Wadau waotekeleza afu...
Read More
New
JESHI LA POLISI ARUSHA LATOA UFAFANUZI TUKIO LA WAANDISHI WA HABARI WA GLOBAL TV NA TRIPPLE A RADIO
OKULY BLOG
February 26, 2022
0 Comments
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP Justine Masejo Na mwandishi wetu Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limetoa ufafanuzi kuhusu tukio l...
Read More
New
RAIS WA UKRAINE AKATAA KUTOROSHWA NA MAREKANI..AINGIA MSTARI WA MBELE VITANI
OKULY BLOG
February 26, 2022
0 Comments
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kumsaidia kuondoka Ukraine ili kuokoa maisha yake wakati majeshi ya Urusi ya...
Read More
Friday, February 25, 2022
New
JESHI LA POLISI NCHINI LATAKIWA KUTUMIA VYEMA MAFUNZO WALIYOYAPATA KWA AJILI YA ULINZI NA USALAMA WA TAIFA KATIKA VITA YA KIMTANDAO.
OKULY BLOG
February 25, 2022
0 Comments
Katibu Mkuu Wizara ya Habari ,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt.Jimmy Yonazi Na,Okuly Julius, Dodoma Wahitimu wa Mafunzo ya Mtandao (...
Read More
New
PROF,MAKUBI:UCHANGANYAJI WA MADINI JOTO KWENYE CHUMVI UTAONGEZA UBORA
OKULY BLOG
February 25, 2022
0 Comments
Profesa Makubi akimkabidhi Katibu Mkuu wa Tamisemi, Dkt Riziki Shemdoe nyaraka za mashine hizo. Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Mwa...
Read More
New
AUAWA NA KUPORWA MIL. 9.5 ALIZOKWENDA NAZO KWA MGANGA WA KIENYEJI ZIFANYIWE ZINDIKO
OKULY BLOG
February 25, 2022
0 Comments
WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Kigoma kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aitwaye Lidya Kamala na kisha kumpora fedha kias...
Read More
Thursday, February 24, 2022
New
TAZAMA VIDEO NA STORY NZIMA JUU HALI YA USAFI KATIKA JIJI LA DODOMA..
OKULY BLOG
February 24, 2022
0 Comments
Na,Okuly Julius, Dodoma Mkurugenzi wa jiji la Dodoma Joseph Mafuru amesema swala la usafi kwa sasa limeimarika na hili ni kutokana na kui...
Read More
Tuesday, February 22, 2022
New
WAMACHINGA NCHINI WATAKIWA KUTUMIA TEHAMA KATIKA SHUGHULI ZAO ILI KUPIGA HATUA KIUCHUMI
OKULY BLOG
February 22, 2022
0 Comments
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula akizungumza na viongozi wa Wamachinga kutok...
Read More
New
PROF.MKENDA AMEWATAKA WAKUU WA VYUO KUTUMIA VIFAA VYA TEHAMA WALIVYOKABIDHIWA KWA MALENGO YALIYOKUSUDIWA
OKULY BLOG
February 22, 2022
0 Comments
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda Na Okuly Julius Dodoma Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda amewa...
Read More
Monday, February 21, 2022
New
MIKOA 7 KUNUFAIKA NA PROGRAMU YA KUWEZESHA MNYORORO WA THAMANI WA UFUGAJI NYUKI NCHINI.
OKULY BLOG
February 21, 2022
0 Comments
Na,Mwandishi wetu SERIKALI imezindua Programu ya kuwezesha mnyororo wa thamani wa ufugaji nyuki ambayo itawanufaisha wananchi wa mikoa 7 ya...
Read More
New
VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 400 VYAKABIDHIWA KISARAWE
OKULY BLOG
February 21, 2022
0 Comments
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizindua jengo la huduma ya uzazi na mtoto leo 21/02...
Read More